Friday, July 1, 2016


Hatimaye ni wazi sasa Zlatan Ibrahimovic anajiunga na klabu ya Manchester United ambapo kwa mara nyingine tena anaungana na kocha wake wa zamani wakati akicheza Inter Milan Jose Mourinho.
Kufuatia uswahiba mkubwa wa wawili hawa, mashabiki na wadau mbalimbali kwenye mtandai wa Twitter wametengeneza picha na video mbalimbali zinazowahusianisha mashwahiba hao.
Furahia mwenyewe kwa kujionea vibweka hivyo


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video