Sunday, July 3, 2016

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Mikel Arteta amepewa kazi ya ukocha chini ya meneja mpya wa Manchester City, Pep Guardiola. Arteta, 34, alistaafu kucheza soka msimu uliopita baada ya kuwepo Emirates kwa miaka mitano. Alishinda makombe mawili ya FA akiwa na Arsenal, baada kucheza mechi 150 na kufunga magoli 17.
"Ukocha ni jambo ambalo nimekuwa nikitaka kufanya," amesema Arteta ambaye ameelezea nafasi ya kufanya kazi na Guardiola kama "nafasi nzuri sana".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video