Kiungo mshambuliaji wa pembeni wa Yanga akionekana kufungwa bandeji kutokana na kuunguza maumivu ya goti yanayomkabili. Mwashiuya ataukosa mchezo wa marudiano na Medeama kule nchini Ghana.
Wednesday, July 20, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment