Friday, July 15, 2016

Wachezaji wa Simba Peter Mwalyanzi (kushoto) akiwa na Abdi Banda wakichezea mpira kama moja ya sehemu ya mazoezi ya klabu hiyo ambayo imeweka kambi mkoani Morogoro. Simba ambayo kwa sasa benchi lao la ufundi lipo chini ya kocha Mcameroon Joseph Marius Omog na msaidizi wake Mganda Jackson Mayanja wameweka kambi ya muda mrefu mkoano Morogoro kwa ajili ya maandalizi kabambe tayari kwa kuanza msimu mpya wa ligi na michuano mingine.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video