Saturday, July 23, 2016

David Moyes ameteuliwa na Sunderland kuwa meneja wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka minne. Meneja huyo wa zamani wa Everton na Manchester United, 53, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Sam Allardyce ambaye amepewa kazi ya kuwa meneja wa timu ya taifa ya England.
 “Nimechukua kazi katika klabu kubwa Uingereza, na kwa kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa, nina hamu ya kufanya kazi tena katika Ligi Kuu ya England,” amesema Moyes. 
Meneja huyo amekuwa bila kazi tangu alipofukuzwa na Real Sociedad mwezi Novemba mwaka jana. Allardyce alithibitishwa kuwa meneja wa England siku ya Ijumaa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video