Thursday, July 14, 2016


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameonesha kufurahishwa na maisha yake mapya kwenye klabu yake ya Manchester United muda mfupi tu baada ya kukabidhiwa timu hiyo.
Meneja huyo wa zamani wa Chelsea amechukua mikoba ya klabu hiyo kutoka kwa Mdachi Louis van Gaal baada ya kutimuliwa mwishono mwa msimu uliopita kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo
Henrikh Mkhitaryan na Eric Bailly ni miongoni mwa wachezaji wa United ambao mapema leo asubuhi walijumuika na mazoezi chini ya kocha wao Jose Mourinho na kuonesha hisia za furaha yake, Mourinho aliamua kushea furaha yake kwa kuposti picha kwenye mtandao wa Instagram
Mourinho aliandika hivi kwenye picha hii huku akionekana mwenye furaha: “Baada ya vipindi kumi vya mazoezi naweza kusema kwamba “napenda kufanya kazi na hawa vijana”.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video