Monday, July 18, 2016

TP Mazembe imejiongezea pointi moja baada ya kupata suluhu dhidi ya wenyeji  Mo Bejaia katika mechi ya Kombe la Shirikisho iliyochezwa jana usiku.

Sare hiyo imeihakikishia TP Mazembe kufuzu hatua ya nusu fainali kwa asilimia 90 kwa kuwa kama itashinda mechi moja katika mechi tatu zilizobaki basi itakuwa ina uhakika wa asilimia 100.

Sare hiyo imezidi kudidimiza matumaini ya Yanga kuamka angalau na kupata pointi zitakazoiwezesha kubadili mambo kwasababu ina pointi moja tu baada ya kucheza mechi tatu ikipoteza mbili na kupata sare moja tu dhidi ya Medeama.


TP Mazembe inaendelea kuongoza kundi hilo ikiwa na pointi saba ikifuatiwa na Bejaia yenye tano, Medeama pointi mbili na Yanga inaburuza mkia na pointi hiyo moja.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video