Kitendo cha kuondoka kwake kimezua malumbano makubwa sana miongoni mwa mashabiki wa Arsenal kwenye mitandao ya kijamii.
Kwenye Tweet zake, Thierry Henry ameonekana kuelekeza lawama zote kwa Arsene Wenger.
Licha ya yeye mwenyewe kuamua kuchukua maamuzi hayo na kufanya kazi na Sky Sports na kuachana na Arsenal, Thierry Henry ameonekana kushusha lawama zote juu ya maamuzi hayo kwa Arsene Wenger.
Henry ameelezea kuondoka kwake kama “maamuzi ya Arsene Wenger”, kitu ambacho kinaashirikia kwamba wawili hao hawajaachana vizuri.
Tweet za Henry na majibu na namna alivyojibiwa.
0 comments:
Post a Comment