Sunday, July 10, 2016

Licha ya kuwa mwanasiasa maarufu, Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba na mpenzi na mshabiki mkubwa wa klabu ya Yanga.
Katika nyakati tofauti kwenye mechi za wabunge wa Simba na Yanga wakicheza Mwigulu huwa anachezea Yanga tena kwenye nafasi ya ushambuliaji na huwa hatari sana mbele ya lango la timu pinzani.
Jana Nchemba alizuru kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye uwanja wa Boko Veterani na kuwasilimia wachezaji pamoja na kuwapa maneno ya morali kuelekea mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana utakaopigwa Jumamosi July 16.
Nchemba alionekana ni mwenye furaha kubwa pale alipojumuika na mashabiki wengine kukaa chini na kuangalia mazoezi ya timu yake hiyo pendwa.
Kwa nafasi yake, Nchemba aliongea maneno haya: "“Yanga wana uwezo kabisa wa kufanya vizuri, wasife moyo. Lakini kwa mashabiki tunapaswa kuonyesha Utanzania na kuachana na yale mambo ya kushangilia bendera ya Congo na kuiacha bendera ya Tanzania,”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video