Sunday, July 17, 2016

Mkuu wa Idara ya Habari na mawasiliano wa Simba, Haji Manara,  leo saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki anatarajia kuondoka nchini na ndege ya Oman Air akielekea India kwa matibabu zaidi ya macho yake yote mawili ambayo moja limepoteza uoni kabisa na lingine linaona kwa kiasi kidogo.
Ndege atakayosafiri nayo Manara itapitia Muscat Oman kisha itatua New Delh.
Jumanne ya wiki ijayo ataanza uchunguzi na baada ya hapo  kuanza matibabu.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba (pichani juu) , jana jioni alifika kumjulia hali Manara na kumuahidi kuwa Serikali inaangalia namna ya kumsaidia zaidi katika tiba yake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video