Wednesday, July 20, 2016

Liverpool wamefanikiwa kumnasa beki Ragnar Klavan kutoka klabu ya Augsburg ya Ujerumani kwa mkataba wa miaka mitatu.
Klavan (30) ambaye amesajiliwa na ada ya paundi milioni 4.2 ataungana na wenzake Jumanne ijayo nchini Marekani ambapo wameweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi.
Beki huyo mwenye uzoefu mkubwa amesajiliwa kwa jili ya kusaidiana na Mamadou Sakho na Joe Gomez ambao kwa sasa wanasumbuliwa na majeraha 
Atakuwa akivaa jezi namba 17 ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Sakho
Nahodha huyo wa Estonia anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Liverpool msimu huu huku akiwa ni mchezaji wa tatu kusajiliwa kutoka Bundesliga chini ya utawala wa Klopp.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video