Mchezaji mpya wa Barcelona Denis Suarez akiwa amevaa jezi mpya itakayokuwa ikitumiwa kwa michezo ya nyumbani.
Wachezaji wa Barcelona kutoka kushoto Lionel Messi, Gerard Pique, Andres Iniesta, Neymar na Luis Suarez wakiwa wamevaa jezi zitakazokuwa zikitumiwa ugenini.
0 comments:
Post a Comment