Mlinda lango mkongwe wa Italy na Juventus Gianluigi Buffon ameamua kuweka pembeni stress za Michuano ya Euro iliyomalizika hivi karibuni na kuamua kujumuika na watoto wa mtaa ambao ni asili yake ilipo wakati huu akifurahia mapumziko yake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi ya Italy 'Sirie A'
Buffon (38) ameonekana akiwa na watoto hao huku akiwa kifua wazi.
Gianluigi Buffon akijivinjari na watoto wa mtaani kwake
0 comments:
Post a Comment