
(Kutoka kushoto) Alex Iwobi, Nacho Monreal, Theo Walcott na Kieran Gibbs wakijifu

Alex Oxlade-Chamberlain naye alikuwemo

Calum Chambers (kushoto) , Mohamed Elneny (katikati) wakiwa na kinda Jeff Reine-Adelaide

Mshambuliajir Chuba Akpom, amerudi kutoka Hull City alipokuwa akicheza kwa mkopo

Chambers na Gibbs wakiwa na uso wenye bashasha

Per Mertesacker naye hajakosekana

Akpom, Iwobi na Reine-Adelaide wakifanya yao

Arsene Wenger akiwa na kocha wa fitness Tony Colbert


Iwobi na Monreal, wakiwajibika

Yaya Sanogo, ambaye alikuwa kwa mkopo Charlton, amerudi
0 comments:
Post a Comment