Tuesday, July 12, 2016


Carlo Ancelotti kwa mara ya kwanza leo anaanza majukumu yake mapya kama meneja mkuu wa klabu ya Bayern Munich.
Baada ya michuano ya Euro kumalizika, sasa ni zamu ya makocha mbalimbali kurudi kwenye vilabu vyao kwaajili ya kuanza majukumu yao tayari kwa msimu mpya wa ligi. Carlo Ancelotti amefanya hivyo baada ya kuonana na mabosi wa klabu hiyo ili kutambulishwa katika maeneo mbalimbali ikiwemo sehemu muhimu za uwanja wa Allianz Arena.
Ancelotti amejiunga na Bayern baada ya kupumzika kwa mwaka mmoja kujishughulisha na masuala ya soka baada ya kutimuliwa kibarua chake na Real Madrid mwaka jana.

Pep amwachia ujumbe maridhawa.
Ancelotti anakuja kuifundisha Bayern akirithi mikoba ya Pep Guardiola ambaye anaifundisha Man City kwa sasa.
Pep amemtakia Ancelotti majukumu mema, na Ancelotti ndiye aliyetanabaisha ujumbe huo alioachiwa na mtangulizi wake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video