Tuesday, June 21, 2016

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic ametangaza kuwa atastaafu kucheza soka la kimataifa baada ya michuano ya Euro 2016. 
Timu yake inakutana na Ubelgiji katika mchezo wa mwisho wa kundi E siku ya Jumatano, mchezo ambao unaweza kuwa wa mwisho kuichezea nchi yake. Amesema: "Ninajivunia mafanikio yangu na siku zote nitapeperusha bendera ya Sweden." 
Manchester United wamehusishwa vikali kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, 34, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuondoka Paris St-Germain.
 Alitarajiwa kuiwakilisha nchi yake katika michuano ya Olimpiki mjini Rio mwezi Agosti.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video