Saturday, June 18, 2016

Yanga wakiwasili mjini MO Bejaia hapo jana. Wenyeji wao klabu ya MO Bejaia waliandaa mabasi mawili madogo aina ya Coaster lakini kwa tahadhari Yanga tayari mapema walikuwa wameandaa basi lao kubwa kwa ajili ya kuwabeba wachezaji kisha Coaster moja ikawabeba viongozi iliyobaki tukawambia rudisheni.Msafara ukaelekea hotel ya Raya iliyopo Bejaia.
Usiku wa leo saa 6 kwa saa za hapa Tanzania kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi kuzoea changamoto za uwanja pamoja na hali ya hewa kutegemeana na muda husika wa mchezo huo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video