Wednesday, June 15, 2016

Kushoto ni jezi ya Yanga itakayoanza kuvaliwa juni 19 dhidi ya Mo Bejaia, Jezi hiyo inayotengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo Macron ambao wameingia ubia na Yanga na kulia ni jezi ya Zamalek ambayo pia hutolewa na Macron!Zamalek na Yanga wana undugu wa kuchangia kampuni moja la vifaa vya michezo.
KAMPUNI ya MACRON yenye makazi nchini Italy inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya michezo, wamevutiwa na klabu ya Yanga hivyo kutaka kufanya nao biashara hii imetokana na mafanikio ya yanga katika mashindano ya kimataifa.
Taarifa zinadai kwamba, jezi mpya ambazo kampuni hiyo imezitengeneza zitatumika kama tathimini katika mechi dhidi ya MO Bejaia utakaopigwa June 19 nchini Algeria.
Dili hilo litakamilika kama zitapendwa. Kampuni hiyo kwa Afrika inawavalisha Zamalek ya nchini Misri.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video