Sunday, June 5, 2016

Staa wa Chelsea Willian amepost picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwajibu wale wanatuhumu kunenepa kupita kiasi
Bila ya kusema maneno mengi, ni ukweli ulio wazi kwamba Willian anawajibu wabaya wake baada ya kupost picha ambayo amefunua shati lake ili kuonesha namna tumbo lake lilivyo,
Haya ni majibu tosha kwa waliompiga vijembe wakidai kwamba amenenepa kupita kiasi kutokana uzushi wa picha ambayo si yake kuenea mitandaoni huku ikisemekana ni yeye.
Angalia picha hii hapa chini.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video