Saturday, June 18, 2016



Baada ya kusota kwa muda mrefu akitafuta uongozi wa soka, hatimaye Michael Richard Wambura nyota yake imewaka kufuatia Leo kuchaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti wa chama cha soka mkoani Mara, FAM.
Wambura aliyewahi kuwa katibu mkuu wa chama cha soka nchini, FAT, sasa hivi Shirikisho soka nchini, TFF amepata kura 26 za ndiyo kati 27 za wajumbe waliopiga kura.
Hata hivyo Comrade Wambura alikuwa mgombea pekee wa kiti cha mwenyekiti.
Wambura alishawahi kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo Urais wa Simba, lakini aliondolewa kwa kuvunja kanuni za uchaguzi na wakati mwingine alidaiwa kukosa sifa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video