Friday, June 3, 2016

1. IKER CASILLAS
Licha ya kutofanya vizuri kwenye klabu yake ya Porto kwa sasa, mlinda lango huyu wa Uhispania ana rekodi ya kipee katika taifa hili. Akiwa na timu yake ya taifa ameweza kucheza  michezo 167.

2. VITALIJS ASTAFJEVS
Taifa| Latvia | michezo: 166
Huyu alikuwa kicheza katika nafasi ya kiungo. Alicheza mechi yake ya mwisho mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 39. Alikuwa mmoja wa wachezaji waliowakilisha taifa lake katika michuano ya EURO mwaka 2004. Wakati akistaafu kuchezea taifa lake alitoa maneno haya:"Napenda soka na mara zote nimekuwa nikipenda".

3. GIANLUIGI BUFFON
Buffon ni kipa wa Italy anayecheza kunako klabu ya Juventus. Ameitumikia Italy kwa kucheza michezo 157. Ndiyo anayeongoza kuchezea taifa hilo kuliko mchezaji yeyote.

4. MARTIN REIM
Kiungo huyu wa zamani wa timu ya taifa ya Estonia amelichezea taifa lake michezo 156

5. LOTHAR MATTHAUS 
 Ujerumani ya Magharibi/Ujerumani | michezo: 150

6. ANDERS SVENSSON
Taifa, Sweden, mechi 148 

7. ROBBIE KEANE
Taifa | Jamhuri ya Ireland | michezo: 143

8.THOMAS RAVELLI
Taifa | Sweden | michezo: 143

9. ANATOLIY THYMOSHCHUK
Taifa | Ukraine | michezo: 142

10.LILIAN THURAM 
Taifa | Ufaransa | michezo: 142

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video