Monday, June 13, 2016

Juhudi za timu ya Uhispania kutaka kutetea na kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo zimeanza vyema baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech, mchezo uliochezwa katika uwanja wa Stade de Tolouse huko Tolouse.
Katika mchezo huo wa kundi D, Uhispania walipata goli lao dakika ya 87 kupitia kwa beki wao wa kati Gerrad Pique, baada ya kuunganisha krosi murua kutoka kwa Andres Iniesta.
Alvaro Morata, Jordi Alba and David Silva had earlier efforts saved as the holders lacked a cutting edge.
Alvaro Morata, Jordi Alba na David Silva wote kwa pamoja walionesha kiwango bora na kupeleka hatari nyingi langoni mwa Czech lakini juhudu zao ziligonga ukuta.
Cesc Febregas almanusura aipe Uhispania lakini kichwa chake kilipaa juu kidogo mwa lango la Czech
Vladimir Darida alipata nafasi ambayo angeweza kuisawazishia timu yake ya Czech lakini juhudi za kipa wa Uhispania David De Gea zilimyima fursa hiyo.
Kiungo wa Uhispania Andres Iniesta ambaye ndiyo mchezaji bora wa mechi anasema: "Ili kuweza kupata matokeo huhitaji kutumia njia moja tu.  Lazima upambane na kushambulia kwa kasi mpaka upate kile unachokitaka. Goli lilikuja kwa wakati ambao tulistahili- uvumilivu ni jambo muhimu sana."
Kwa upande wake, kocha wa Jamhuri ya Czech anasema Pavel Vrba: "Ni dhahiri inafedhehesha sana kuruhusu goli katika dakika za majeruhi. Pengine tungeweza kupata goli, kitu ambacho kiukweli ni kigumu kutokea kirahisi hasa kwa timu kama Uhispania. Tulicheza kwa nguvu zetu zote lakini ni aibu kwetu kushindwa walau kupata hata pointi moja."

Dondoo muhimu

  • Baada ya mchezo huu wa leo, Uhispania imecheza bila ya kupoteza mchezo wowote kati ya 13 ya mwisho. Mara ya mwisho walipoteza dhidi ya Ureno mwaka 2004
  • Uhispania hawajaruhusu bao lolote katika muda waa dakika 600 kwenye michuano hii. Wanakuwa wameweka rekodi ya kufanya hivyo kwa muda mrefu zaidi.
  • Kipa wa Czech Petr Cech katika mchezo wa leo ameweka rekodi ya kupiga pasi nyingi zaidi kuliko mchezaji yoyote wa timu yake. Amepiga pasi 36

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video