Klabu ya Yanga imemuongezea mkataba mchezaji wake kiraka Mbuyu Junior Twite na kuendelea kubaki klabuni hapo.
Twite amesaini mkataba wa miaka miwili ambapo ataitumikia klabu hiyo mpaka mwaka 2018.
Hata hivyo kiungo kutoka Niger Issoufou Boubacar Garba mkataba wake umevunjwa, na sasa yuko huru.
0 comments:
Post a Comment