Thursday, June 2, 2016

Gundogan ameacha ujumbe huu kwa Borussia Dortmund
Hi guys,
"Baada ya miaka kadhaa ya mafanikio na Dortmund kuisha. Tulisherehekea ushind mwingi na kusimama pamoja tuliopkuwa tukifungwa.
Shukrani za dhati ziwafikie makoacha wa BVB Jurgen Klopp na Thomas Tuchel. Niliishi nao vizuri na kunifanya niwe mchezaji wa kutegemewa timu ya taifa ya Ujerumani. Nawashukuru sana waajiri wangu, wachezaji wenzangu na kwa mashabiki wote walikuwa nyuma yangu.
Sababu kuwa ya uhamisho wangu ni uwepo wa fursa adhimu ya kuungana na Pep Guardiola na klabu ya Manchester City. Guardiola aliniomba kujiunga naye na kutokana na mbinu zake za ufundishaji nimeshawishika. Naamini hii ni hatua muafaka kwangu kwa sasa. Chini ya uongozi wake nataka kuboresha zaidi ujuzi wangu wa kucheza soka.
Ninayo furaha kubwa licha ya majeraha niliyo nayo lakini nimetimiza azma yangu ya kutoondoka Dortmund kama mchezaji huru.
Nawatakia maisha mema BVB kwa siku za baadaye na nitajitahidi kurejea katika hali yangu ya kawaida kwa mara nyingine tena haraka iwezekanavyo".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video