Friday, June 10, 2016

Wachezaji wa 10 wote wa Manchester United walichaguliwa na mameneja mataifa mbalimbali ya Ulaya kuwakilisha nchi zao katika michuano ya Ulaya inayoanza leo nchini Ufaransa.
Miongoni mwa mataifa 24 yaliyofuzu kushiriki Euro 2016, saba kati yao yatakuwa angalau na mchezaji kutoka Manchester United.
Isipokuwa Uingereza ambao watakuwa na wachezaji watatu na Ufaransa ambao watakuwa na wachezaji wawili, nchi nyingine tano zinawakilishwa na mchezaji mmoja mmoja kutoka Manchester United.
Kwa mujibu wa mtandao wa Sokka.com hii ndiyo 'top ten' ya wachezaji wa Man United watakaokuwa wakiyawakilisha mataifa tofauti nchini Ufaransa

Kundi A – Ufaransa
Anthony Martial – Kiungo mshambuliaji
Morgan Schneiderlin – Kiungo mlinzi


Kundi B –England 
Wayne Rooney – Kiungo, mshambuliaji

Chris Smalling – Mlinzi

Marcus Rashford – Kiungo mshambuliaji

Kundi C – Ireland ya kasikazini
Paddy McNair – Mlinzi

Kundi C – Ujerumani
Bastian Schweinsteiger – Kiungo

Kundi D – Hispania
David De Gea – Kipa

Kundi E – Ubelgiji
Marouane Fellaini – Kiungo

Kundi E – Italia
Matteo Darmian – Beki

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video