Saturday, June 11, 2016

Manchester United wana uhakika wa kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale, 26, kwa kitita kitakachovunja rekodi ya dunia cha pauni milioni 94.6 (El Confidencial, via Daily Star)
Paris St-Germain wanafikiria kutengua kigezo cha uhamisho cha mshambuliaji wa Barcelona Neymar , 24, ambacho ni pauni milioni 153 (Daily Mail)
Mshambuliaji wa Juventus striker Alvaro Morata, 23, atakataa kwenda Old Trafford iwapo Manchester United watamamsajili Zlatan Ibrahimovic, 34. (Onda Cero, via Gazzetta dello Sport)
Uhamisho wa Ibrahimovic kwenda United unaonekana kusitishwa baada ya meneja wa Sweden Erik Hamren kusema mshambuliaji huyo hatosafiri kwenda England. (Goteborgs-Posten, Guardian)
Manchester City wanataka kukamilisha usajili wa beki wa Athletic Bilbao, Aymeric Laporte, 22, katika siku chache zijazo (Marca)
Uhamisho wa mshambuliaji wa England Jamie Vardy kwenda Arsenal kutoka Leicester City haupo tena baada ya Vardy, 29, kukataa kufanya vipimo vya afya (Talksport)
Mshambuliaji wa Marseille, Michy Batshuayi, 22, anataka mshahara wa pauni 100,000 kwa wiki ili amwage wino Tottenham Hotspur. (Daily Mirror)
Juventus wanaonekana kuwapiku Everton kumsajili mshambuliaji wa Southampton, Graziano Pelle, 30. (Sportitalia, via Talksport)
Liverpool wanafikiria kumsajili kiungo wa Lille, Sofiane Boufal, 22. (Foot Mercato, via Daily Express)
West Brom wamekanusha kupata dau lolote rasmi la kumtaka Saido Berahino, 22, licha ya Watford kuonesha dalili za kumtaka (Express and Star)
Everton bado wanataka kumsajili kipa wa Ajax, Jasper Cillessen, 27, ambaye alikuwa akisakwa tangu msimu uliopita na meneja wa zamani Roberto Martinez (Daily Mirror)
Kigezo cha uhamisho cha beki wa Wolfsburg, Ricardo Rodriguez, 23, anayesakwa na Arsenal sasa kimetenguliwa, hiyo ni kwa mujibu wa wakala wake (TMW Radio, via Daily Express)
Crystal Palace watalazimika kupanda mara dufu dau lao la pauni milioni 5 kama wanamtaka beki Lewis Dunk, 24, kutoka Brighton (Daily Mirror)
Sunderland watakubali ada ya uhamisho ya takriban pauni milioni 2 kwa kiungo Emanuele Giaccherini huku vilabu kadhaa vya Italy vikimtaka (Calcio Mercato, via Talksport)
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil amesema England ni moja ya nchi zinazoweza kushinda Euro 2016 (Evening Standard)
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry anasema ameshangazwa na hatua ya Jamie Vardy kusitasita kwenda Emirates.(BBC Radio 5 live).
Credit:Salim Kikeke

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video