Thursday, June 23, 2016

Manchester United wataendelea kumfuatilia mshambuliaji wa Celta Vigo Nolito, 29 na pia kutoa pauni milioni 30 kumsajili mshambuliaji wa Schalke Leroy Sane, 20 (Daily Mail), Ryan Giggs anajiandaa kuondoka Manchester United na kutafuta klabu ya kufundisha na hivyo kukamilisha uhusiano wake na Old Trafford uliodumu kwa miaka 29 (Daily Mail), meneja mpya wa Manchester United anajiandaa kutoa pauni milioni 35 kumsajili kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey, 25 (Sun), Tottenham wamekubaliana na Roma kwa ajili ya uhamisho wa pauni milioni 12 wa mshambuliaji kutoka Paraguay Antonio Sanabria (Gazzetta dello Sport), Liverpool wanafikiria kumsajili Sadio Mane, huku Southampton wakitaka pauni milioni25 kwa ajili ya mshambuliaji huyo, 24, kutoka Senegal (Daily Express), Chelsea wameanza mazungumzo na Real Madrid ya kumsajili Alvaro Morata, 23 (Telegraph), West Ham wanajiandaa kutoa pauni milioni 15 kumsajili mshambuliaji waItaly na Juventus Simone Zaza, 24 (Guardian), Liverpool wako tayari kumuuza kiungo Joe Allen kwa pauni milioni 10 (Telegraph), Liverpool pia wataacha kumfuatilia beki wa kushoto wa Leicester Ben Chilwell kama mabingwa hao hawatopunguza bai ya pauni milioni 10 (Liverpool Echo), Arsenal wameanza mazugumzo ya mkataba mpya na beki wa kulia Hector Bellerin, 20 (Sport), Inter Milan wanataka kumsajili beki wa kulia wa Manchester City Pablo Zabaleta, 31 (Sun), kiungo wa West Ham Reece Oxford, 17, amepewa mshahara wa pauni 20,000 kwa wki na Red Bull Leipzig ya Ujerumani (Sky Sports), West Brom wanataka kumsajili winga wa Newcastle Andros Townsend, 24 na wapo tayari kumuuza winga Callum McManaman, 25 (Express na Star), Burnley wamekataa dau la pauni milioni 15 kutoka Leicester la kumsajili beki Michael Keane, 23, lakini pia wanataka kumsajili kiungo wa Stoke, Charlie Adam, 30 (Lancashrire Telegraph), Watford wamemuongeza mshahara mara mbili mshambuliaji Troy Deeney ili kuzuia vishawishi kutoka Leicester (Telegraph) 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video