Tuesday, June 7, 2016

Je, ni kweli Gonzalo anakaribia kutua Liverpool?, hebu sikia hii, kocha wa Liverpool Jurgen Klopp jana ameonekana katika pambana la michuano ya Copa America kati ya Argentina na Chile, mchezo ambao ulimalizika kwa Argentina kuibuka na magoli 2-1 yaliyofungwa na Angel Di Maria na Eva Banega.
Katika mchezo huo Klopp alionekana kukaa sambamba na kaka yake Higuain mpaka pale alipoondoka uwanjani.
Ikumbukwe kwamba katika siku za hivi karibuni, Liverpool imekuwa ikihusishwa vikali na kumnunua Muargentina huyo (28) ambaye hivi karibuni amevunja rekodi ya Serie A na kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya ligi hiyo kufunga magoli 36.

Angalia picha za Jurgen Klopp akiwa pembeni ya kaka wa Gonzalo, Nicolas Higuain.
Liverpool boss Jurgen Klopp watched Argentina v Chile next to Gonzalo Higuains brother
Liverpool boss Jurgen Klopp watched Argentina v Chile next to Gonzalo Higuains brother

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video