Thursday, June 23, 2016

Klabu ya Yanga bado iko nchini Uturuki kuna mji wa Antalya, wakiweka kambi kwa ajili ya kijindaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe utakaopigwa jijini Dar es Salaam June 29 mwaka huu.
Katika mchezo wao wa awali dhidi ya Mo Beajaia, Yanga walifingwa bao 1-0, mchezo uliopigwa huko mjini Bejaia June 19.
Kutokana na maandalizi yao, hizi ndizo taarifa chache kutoka kwa vijana hao wenye maskani yao mitaa ya Twiga na Jangwani.
 Oscar Joshua aanza mazoezi taratibu kambini na kuamsha matumaini ya huduma yake kupatikana katika mchezo dhidi ya TP Mazembe.
- Huku nyumbani nako hali ni nzuri kwa Juma Abdul baada ya kuanza mazoezi mepesi hapo jana japo itambidi asubiri kwa wiki 2 zaidi ili awe fit.
-Obrey Cholla Chirwa tayari ameungana na wenzake hapo jana na kufanya mazoezi ya kwanza na kikosi hicho cha Pluijm, Obrey anategemea kuchukua nafasi ya Tambwe.
-Thaban Michael Kamusoko amewasifu wenzie kuwa timu yao inazidi kuwa bora kila siku, huku akiweka wazi kuwa wanatarajia kufanya mambo makubwa katika mashindano ya shirikisho.
-Mlinzi mpya wa Yanga, Vicent Andrew " Dante" ametaarifu kuwa kitu anachosubiri kwa hamu basi ni kuitumikia timu yake katika michezo ya mashindano huku akijiapiza kazi atakayopiga ndio itakuwa tiketi yake kikosi cha kwanza.
-Mwambusi amedai vijana wake wameiva, kilichobaki ni ubutu katika safu ya ushambuliaji ambapo hushindwa kutumia nafasi za kufunga tatizo hilo linafanyiwa kazi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video