Tuesday, June 14, 2016

Suala la Uhispania kuanzisha mpira jana dhidi ya Jamhuri ya Czech huku katiikati kukiwa na mchezaji mmoja, limezua mjadala waina yake.
Badala ya kuanzisha mpira huku wakiwa wachezaji wawili kama taratibu zinavyoelekeza, lakini kwa Uhispania ilikuwa tofauti baada kufanya hivyo kukiwa na mchezaji mmoja tu katikati ya dimba.
Lakini hii si kana kwamba wao wamepewa heshima ya kipekee, bali ni kutokana na kubadilika kwa sheria na taratibu.
Kwa kujibu wa FIFA, sheria mpya zinaruhusu aina hiyo ya uanzishwaji wa mpira. Lakini hii imekuwa tofauti kidogo kwa mashabiki, ambao wengi wao wameonekana kushangazwa na jambo hilo.

Angalia hapa tweets za mashabiki mbalimbali juu ya suala hilo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video