Friday, June 17, 2016

MSHAMBULIAJI Obrey Chirwa muda wowote atatangazwa kukamilisha uhamisho kujiunga na wababe wa soka la Tanzania,Young African Sports Club (Yanga).
Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Naipenda Yanga, raia huyo wa Zambia anataraji kuwasili Tanzania leo kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kujiunga huku ikisemekana Yanga wamelazimika kulipa zaidi ya $100 000 kupata sahihi ya Chirwa.
Yanga wana matumaini makubwa kuwa Chirwa atafanya vizuri kama walivyofanikiwa wachezaji wenzie wa zamani wa FC Platinum Donald Ngoma na Thabani Kamusoko.
Mwaka jana Chirwa aliachana na Horbo IK ya Denmark baada ya kutovutiwa na maslahi katika klabu hiyo kisha akaamua kurudi timu yake ya awali FC Platinum.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video