Wednesday, June 8, 2016

Kiukweli Stephen Keshi haihitaji utambulisho wowote kwa mtu yeyote mpenda soka hasa anayefuatilia soka la Afrika. Amefariki leo ghafla kutokana na maradhi ya shambulio la moyo (heart attack). 
Watu aliocheza nao enzi hizo, wachezaji aliowahi kuwafundisha, vile vile vilabu alivyowahi kuchezea. Wote kwa pamoja wametoa salamu zao za rambirambi.
Mutiu Adepoju anasema: "Nimeishiwa maneno ya kusema. Alikuwa ni zaidi ya mchezaji mwenza kwangu mimi. Stephen Keshi alitoa mchango mkubwa katika maisha ya wengi wetu ambao tulijiunga na timu ya taifa wakati yeye anakaribia kustaafu. Hakuwa m'binafsi. Hili ni pigo kubwa kwenye familia ya wanamichezo".







0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video