Sunday, June 5, 2016

Wakati wachezaji wengi wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya michuano ya Euro 2016 kwa kucheza mechi za kirafiki za kimataifa na kufanya mazoezi ya nguvu kwenye kambi za timu za taifa, mambo ni tofauti kabisa kwa Cristiano Ronaldo.
Baada ya kufunga penati ya ushindi kwenye fainali ya Champions League, nyota huyo wa Real Madrid amepewa muda wa ziada kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuanza kwa michuano ya Euro.
Anatumia muda huo kula bata kwenye fukwe za kisiwa cha Ibiza huku picha kadhaa zikionesha matukio mbalimbali zikiwa zimezagaa mitandaoni.
Picha na video zimekuwa zikimuonesha Ronaldo akifurahia maisha kwenye boat pamoja na warembo.
Mkali huyo wa Ureno amekuwa karibu sana na mrembo mmoja ambaye vyombo vya habari vya Hispania vimeshindwa kumtambua mara moja.

Angalia video hapa chini ujionee jamaa anavyofanya yake

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video