Sunday, June 12, 2016

Mashabiki wa England wamelazimika kukimbia na kutoka nje ya baada ya kuvamiwa na mashabiki wa Urusi kwenye uwanja wa Stade Velodrome baada ya mchezo kati ya pande hizo mbili kumalizika kwa sare ya 1-1 mjini Marseille. 
Muda mfupi tu baada ya kumalizika kwa mchezo, ambapo Glushakov alifunga bao la kusawazisha katika dakika za majeruhi, mashabiki wa Urusi walivamia jukwaa la mashabiki wa England ambao walilazimika kupanda uzio ili kukimbia. 

Kwa siku ya tatu mfululizo mashabiki wa pande hizi mbili wamekuwa wakikabiliana.






 




One England fan is punched in the head by an attacker as he is surrounded by Russian fans following the end of the game in France

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video