Andrew Vicent "Dante" akisaini mkataba wa miaka miwili Yanga jana akitokea klabu ya Mtibwa Sugar. Dante ambaye ni beki wa kati, anaenda kukumbana na changamoto kubwa kutokana na uwepo wa wakali kama Nadir Haroub, Kelvin Yondan na Vincent Bossou.
Tuesday, June 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment