Tuesday, June 14, 2016

Magoli ya Emanuele Giaccherini na Graziano Pelle yameeipa ushindi Italia wa magoli 2-0 dhidi ya Ulelgiji na kuanza vema mbio za kufukuzia taji la Euro 2016.
Striker wa Sunderland Giaccherini alianza kuifungia Italia bao la kwanza kipindi cha kwanza kwa kuunganisha pasi ndefu ya Leonardo Bonucci.
Striker wa Southampton Pelle akaifungia Italia bao la ushindi dakika za nyongeza na kuiweka Italia kwenye kilele cha Kundi E ikiwa na ponti tatu huku Jamhuri ya Ireland ikifuata pamoja na Sweden zenye pointi moja kila timu wakati Ubelgiji wakiwa wa mwisho bila pointi.
Ubelgiji walishindwa kutumia nafasi zao kupitia kwa Lukaku na Divock Origi ambao walipoteza nafasi za kuipa magoli timu yao.

Dondoo muhimu
  • Italy wameweza kucheza mechi tatu bila bila kupoteza kwa mara ya kwanza tangu June 2013
  • Wamtengeneza clean sheets nyingi kwenye michuano ya Euro kuliko timu yeyote (17).
  • Italia hawajafungwa kwenye mechi zao nne dhidi ya Ubelgiji kwenye mashindano makubwa (W3 D1).
  • Ubelgiji wamepoteza mechi zao sita za mwisho kati ya nane kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya (W2).
  • Buffon amekuwa mchezaji mwenye umri mkubwa kuiwakilisha Italia Euro (miaka 38 na siku 136) huku akimata nafasi ya sita kwa ujumla kucheza michuano hiyo kwa wachezaji wenye umri mkubwa. Ulikuwa ni mchezo wake wa 14 kwenye mashindano ya Ulaya akiwa na Italia ni rekodi nyingine kwake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video