Thursday, June 9, 2016

Jarida la Forbes leo limetoa orodha ya wanamichezo 100 matajiri duniani. Katika orodha hiyo nyota wa Real Madrdi na Ureno Cristiano Ronaldo anashikilia nafasi ya kwanza, akifuatiwa na Leo Messi wa Barcelona na Argentina.
Ronaldo anashkilia nafasi ya kwanza huku akijiwekea kibindoni uatajiri wa dola za Kimarekani milioni 88, wakati Messi amejiwekea kibindoni utajiri wa dola milioni 81.4.
Katika uatajiri wake wote huo, Ronaldo dola milioni 32 amezipata kupitia kwenye mitandano ya kijamii kama: Facebook, Instagram and Twitter.

The rest of the top 100
Katika orodha hiyo kuna Waingereza watano, wakiongozwa na Lewis Hamilton katika nafasi ya 11 (dola milioni 46), akifuatiwa na Rory McIlroy katika nafasi ya 17 (dola milioni 42.6), Gareth Bale nafasi ya 25 (dola 35.9m), Wayne Rooney nafasi 49 (dola milioni 26.1) na Andy Murray 74 (dola milioni 23).
Kwa uapnde wa Marekani, wameingiza watu 65 katika orodha hiyo, huku 26 kati yao, idadi ambayo ni kubwa  zaidi wakiwa ni wachezaji wa mpira wa kikapu.
Argentina, Germany na Jamhuri ya Dominican wote kwa pamoja wametoa mchezaji mmoja mmoja.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video