Thursday, June 16, 2016

Kocha wa Corinthians Adenor Leonardo Bacchi, maarufu kama Tite, ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil. Hiyo ni kwa mujibu taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo.
Tangazo hilo liltolewa na rais wa klabu hiyo Roberto de Andrade katika mkutano na wanahabari jana baada ya kufukuzwa kwa aliyekuwa kocha wa taifa hilo Dunga.
Dunga alifukuzwa kutoka na timu hiyo kupata matokeo mabovu na kutupwa nje ya michuano ya Copa America inayoondelea nchini Marekani.
Brazil wameshindwa kufuzu hatua ya makundi baada ya suluhu ya 0-0 dhidi ya Ecuador, ushindi wa 7-1 dhidi ya Haiti na kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Peru.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video