Siku sita tu tangu tangu afungue akaunti hiyo, tayari ameweka post sita, ikiwa ni wstani wa posti moja kwa siku (je ataendelea kufanya hivi mpaka msimu mpya utakapoanza?).
Post yake ya kwanza inamuonesha akiwa na muigizaji maarufu wa filamu Guy Ritchie huku akiposti maneno yaliyojaa falasafa kutoka kwa muongozaji filamu huyo na kum-tag kwenye post hiyo.
Insemekana huu ni mpango maalum wa Kaimu Mtendaji wa Manchester United Ed Woodward kwa ajili ya kutumia njia hiyo kama moja ya vyanzo vya kuiingizia mapato klabu.
0 comments:
Post a Comment