Sunday, June 12, 2016

Shuti kali la mbali kutoka kwa kiungo hodari Luka Modric lilitosha kuipa ushindi Croatia mbele ya Uturuki katika muendelezo wa michuano ya Euro, mchezo wa kundi D uliopigwa kunako dimba la Parc des Princes jijini Paris.
Modric alifunga goli hilo mnamo dakika ya 41 huku timu yake ikitengeneza nafasi nyingi ambazo hata hivyo walishindwa kuzitumia ipasavyo
Darijo Srna and Ivan Perisic walifanya kazi kubwa sana lakini juhudi zao zilizuiwa na kipa wa Uturuki Volkan Babacan, ambaye aliokoa kwa umaridadi wa hali ya juu.
Kwa matokeo hayo Croatia wanakaa kileleni mwaka katika kundi lao ambalo linaundwa na timu za Uhispania na Jamhuri ya Czech pamoja na Uturuki.
Croatia watapamba na Jamhuri ya Czech siku ya Ijumaa huko St Etienne, wakati Uturuki watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya mabingwa wateteza Uhispania katika mji wa Nice.

Dondoo muhimu
Croatia wana rekodi ya kipekee katika michezo ya ufunguzi ya michuano hii. Wameshinda michezo minne.
Uturuki wamepoteza michezo yao yote minne katika mechi za ufunguzi za michuano ya Euro (1996, 2000, 2008, 2016), ikiwa ni rekodi mbaya kabisa katika michuano hiyo.

Video:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video