Sunday, June 19, 2016

Nyota wa Austria David Alaba hakuwa na wakati mzuri katika mchezo wa jana usiku dhidi ya Ureno licha ya kumalizika kwa suluhu.
Alaba alichezeshwa namba 10, ambapo watu wengi walishangazwa na kitendo hicho na baadaye kutolewa zikiwa zimesaliwa dakika 25 kabla ya mchezo kumalizika.
Taarifa za chini chini zinadai kwamba Alaba alikuwa na majeraha ndio maana alitolewa.
Baada ya mchezo kuisha, kwenye mahojiano na TV moja ya Austria Alaba alilulizwa : “Ulifikiriaje wakati Ureno walipopata penati na kumwona Ronaldo anaenda kupiga?”
....Kwa kutumia lugha ya kiingereza Alaba akajibu…
“Fuck. I just said fuck.”

Insta-Video

A video posted by Euro 2016 Live Goals (@euro.goalz) on

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video