Leicester City wamemsajili beki kutoka Spain Luis Hernandez kwa mkataba wa miaka minne, kuanzia Julai mosi.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amejiunga na mabingwa wa England akitokea Sporting Gijon.
Beki huyu wa kati ni zao la mfumo wa vijana wa Real Madrid lakini hakuweza kuingia katika kikosi cha kwanza.
0 comments:
Post a Comment