Thursday, June 23, 2016

Jamie Vardy ameamua rasmi kubaki Leicester City baada ya kusaini mkataba wa miaka minne.
Hii ni habari mbaya sana kwa Arsenal. Mashabiki wa klabu hiyo walikuwa na matumaini makubwa kuwa klabu yao ingemsajili nyota huyo ambaye alifunga magoli 24 msimu uliopita nyuma ya straika wa Tottenham Harry Kane mwenye magoli 25.



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video