Sunday, June 19, 2016

Beki wa kulia wa Yanga Hassan Ramadhan Kessy akipata 'selfie' na watoto wa Kialgeria ambao akikutana nao nchini humo wakati wakijaindaa kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Caf dhidi ya MO Bejaia utakaochezwa 6.15 usiku wa kuamkia kesho mjini Bajaia  kwenye dimba la Stade de l'Unité Maghrébine. Caf wametoa tamko kwa Kessy na wachezaji wenzake wapya waliosajiliwa na Yanga kutocheza mpaka pale barua zao za uthibitisho kutoka kwenye vilabu vyao vya awali zitakapotumwa Caf.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video