Thursday, June 16, 2016

Kocha wa Ujerumani Joachim Low ameomba radhi baada ya kuonekana katika video na picha mbalimbali zilizosambaa akiingiza mkono sehemu zake za siri na kisha kunusa.
Katika mchezo dhidi ya Ukraine ambapo walishinda mabao 2-0, Low alionekana akiingiza mkono sehemu zake za siri na kuuweka puani pamoja na mdomoni.
Lukas Podolski amemtetea kocha wake, huku Low mwenye akisema kuwa hakuwa akijitambua wakati akifanya hivyo.
"Ni kweli nimeona hizo picha na kimsingi sikua najitambua lakini hata hivyo nitajaribu kuhakikisha sirudii tena kufanya hivyo. Nisameheni sana kwa hilo,” amesema Low.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video