Tuesday, June 14, 2016

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Mrundi Didier Kavumbagu amewapa masharti uongozi wa timu ya Mbeya City ili kumsajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kavumbagu kwa sasa yupo huru kutoksna na kubaki siku chache mkataba wake na Azam ufikie ukiongoni.
Straika huyo ameiambia MPENJA SPORTS kwamba amefanya mazungumzo na viongozi wa Mbeya kwa kuwapa masharti kwa ajili ya kusaini mkataba.
"Wakikubaliana na masharti niliyowapa na kwa kutimiza yale ninayohitaji hakuna shida nitasaini (Mbeya), " alisema.
Kavumbagu ambaye kwa sasa yuko kwao Burundi kwa ajili ya mapumziko mafupi 
Aliongeza kwamba bado awasilikiliza mabosi wake wa Azam juu ya mustakabali wa kuongeza mkataba mwingine.
"Hadi sasa sijaongea suala lolote na viongozi wa Azam, kwani niliwahi kuondoka hivyo mwisho wa mwezi nakuja kuwasikiliza," alisema Kavumbagu.
Taarifa za uhakika zilizotufikia kwamba tayari uongozi wa Azam unahitaji kuachana na mchezaji huyo.
Azam bado wako kimya kutaja majina ya wanaoachwa pamoja na wanaosajiliwa huku wakisubiri makocha wao kurejea May 30 mwaka huu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video