Kocha wa timu ya taifa ya Hispani Vicente del Bosque ametangaza kikosi chake kitakachokwenda kuwania michuano ya EURO mwaka huu nchini Ufaransa.
Katika kikosi hicho, Del Bosque amewatema nyota wa Real Madrid Isco pamoja na kiungo wa Atletico Saul Niguez.
0 comments:
Post a Comment