Kwa mujibu wa 'Naipenda Yanga', beki mpya wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhan ataanza katika mchezo kati ya Yanga na Mo Bejaia.
Kessy ambaye amesajiliwa hivi karibuni ataanza mchezo huo kutokana na Juma abdul kusumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu aliyopata katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Azam ulioisha kwa Yanga kushinda mabao 3-1.
Juma Abdul anakadiriwa kuwa nje kwa takriban wiki 2 zaidi kutoka hivi sasa.
0 comments:
Post a Comment