Monday, June 6, 2016

Mchezo wa kwanza kwa Pep Guardiola kama kocha wa Manchester City utakuwa dhidi ya Bayern, mchezo maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season).
Guradiola atakuwa akipambana na timu yake ya zamani yenye maskani yake Allianz Arena July 20, ikiwa imepita miezi isiyozidi miwili tangu aachane na vigogo maarufu kwa jina la 'The Bavarians'.
Vile vile huo utakuwa mchezo wa kwanza wa nyumbani kwa kocha mpya wa Bayern Carlo Ancelotti’s.
Kucheza na Bayern Munich siku zote imekuwa ni heshima kubwa na mchezo huu utakuwa na msisimko wa aina yake ukizingatia kocha wetu mpya kwamba Pep Guardiola atakuwa akirejea kucheza na klabu yake ya zamani", alisema Mtendaji Mkuu wa Manchester City Ferrran Soriano
“Bayern watatupa upinzani unaostahili wakati timu yetu ikiendelea kujifua kwa ajili ya msimu mpya na tutaweza kujumuika kwa pamoja na mashabiki wetu wa Ujerumani”.
City pia watapambana na Manchester United Borussia Dortmund katika michezo yao ya pre-season nchini China

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video