Sunday, June 12, 2016

Granit (mwenye jezi nyeupe) na Taulant wakipongezana baada ya mchezo wa jana ambapo Uswizi ilishinda 1-0 dhdi ya Albania. Granit alikuwa akicheza Uswizi wakati Taulant alikuwa Albania.
The Xhaka brothers‘ mother wore a half-and-half shirt to support both sons
Mama yao Granit na Taulant akionesha upendo jana kwa watoto wake baada ya kuvaa tisheti ambayo nusu ya rangi inawakilisha Albania na nyingine Uswizi.
Granit Xhaka na kaka yake Taulant kamwe hawasahau walipotoka. Wawili hao wanapendana sana na kikubwa ni mapenzi yao yasiyopimika kwa wazazi wao. Jana walikuwa timu pinzani wakati Uswizi ilipocheza na Albania. Granit alikuwa akicheza upande wa Uswizi wakati Taulant alikuwa upande wa Albania.
Sasa issue nzima iko hivi....Granit na Taulant licha ya kuwa wakubwa na akili zao timamu, lakini katika kiasi chote cha mapato wanachopata kupitia soka, asilima 80 na fedha hizo hupeleka kwa wazazi wao kwaajili ya kuwatunzia.
Hii ni tabia ya kipekee ukilinganisha na wachezaji wengi. Wengi wao hutumia fedha hizo kwa kununulia magari na nyumba za kifahari, lakini imekuwa tofauti kwa vijana hawa. Wanawapa wazazi wao fedha hizo kwa ajili ya matumizi na vile vile nyingine kuwatunzia.
Granit na Taulant wanasema:"Kwasababu tunawapenda sana wazazi wetu. Tunahakikisha kila mwezi tunawatumia kiasi cha fedha. Tuna akaunti tofauti hata hivyo. Tunawapa asilimia 80 ya pato letu. Sisi bado ni vijana, na ni malimbukeni wa fedha, tunaweza kuzitumia ovyo na kuisha haraka. Kama kuna yeyote anadhani ni bora kwasababu ya kuwa na fedha nyingi kwenye akaunti, basi anaweza kughafirika haraka sana. Kwetu sisi familia ni kitu chenye thamani kubwa sana.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video